Nameless awajibu kisomo wanaomshinikiza kupata mtoto wa kiume

Nameless awajibu kisomo wanaomshinikiza kupata mtoto wa kiume

Msanii nyota nchini Nameless amewajibu walimwengu wanaomshinikiza kuzaa mtoto wa kiume kama njia ya kudhihirisha uanaume wake katika jamii. Akimjibu shabiki mmoja aliyemtaka aweke mkakati wa kumpata mtoto wa kiume na mke wake Wahu kwenye mtandao wa Facebook, Nameless amesema anajivunia kuwa baba ya watoto wa kike na lengo lake kwa sasa ni kuwalea mabinti […]

Read More
 Wahu na Nameless wapata mtoto wa kike

Wahu na Nameless wapata mtoto wa kike

Lejendari wa muziki nchini  Nameless  amethibitisha kuwa mke wake Wahu amejifungua mtoto wa kike. Nameless ameeleza furaha yake kupitia mitandao yake ya kijamii kwa Wahu kujifungua salama, akimshukuru Mungu pamoja na mashabiki zake ambao wamekuwa mstari wa mbele kuwaombea dua kwa kusema kuwa mke yupo tayari kwa majukumu ya kumlea mtoto wao Aidha amesema mtoto […]

Read More
 Wahu na Nameless waweka wazi jinsia ya mtoto wao

Wahu na Nameless waweka wazi jinsia ya mtoto wao

Staa wa muziki nchini Wahu ameweka wazi jinsia ya mtoto wake wa tatu ambaye atazaliwa hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video ya hafla ya utambulisho wa jinsia ya mtoto wao na kusindikiza na maneno yanayosomeka “BabaGalz Chairman honored, excited and ready for Duty! Ujumbe huo umetafsiri moja kwa moja na watumiaji wa […]

Read More
 WAHU NA NAMELESS WASHEREKEA MIAKA 17 YA NDOA

WAHU NA NAMELESS WASHEREKEA MIAKA 17 YA NDOA

Wanamuziki David Mathenge maarufu kama Nameless na Wahu Kagwi wametimiza miaka 17 ya ndoa na miaka 25 tangu wayaanze mahusiano yao. Wawili hao ambao walianza mahusiano yao mwaka 1997 walifanikiwa kufunga ndoa mwaka 2005 na katika ndoa yao wamebahatika kupata watoto wawili, wote wakiwa wakike. Leo, Septemba 10 ni anniversary yao, ambapo wametimiza miaka 12 […]

Read More
 NAMELESS NA WAHU WANATARAJIA MTOTO WA TATU

NAMELESS NA WAHU WANATARAJIA MTOTO WA TATU

Wanamuziki David Mathenge maarufu kama Nameless na Wahu Kagwi wametangaza kwamba wanatarajia mtoto wao wa tatu. Wawili hao walitoa tangazo hilo kupitia video ambayo waliichapisha kwenye mitandao ya kijamii. Tumiso ndiye kifungua mimba wa wanamuziki hao ambao walifunga ndoa mwaka 2005 na wa pili ni Nyakio. Ndoa ya wanamuziki hao imedumu muda mrefu kinyume na […]

Read More
 WAHU AKOSHWA NA SHABIKI YAKE MLEMAVU,ACHANGISHA SHILLINGI 180,000 KUMSAIDIA

WAHU AKOSHWA NA SHABIKI YAKE MLEMAVU,ACHANGISHA SHILLINGI 180,000 KUMSAIDIA

Msanii wa muziki nchini Wahu Kagwi amefanikiwa kuchangisha takriban shillingi elfu 180 kwa ajili ya shabiki yake mmoja anayefahamika kama Eunice. Eunice ambaye ana changamoto ya ulemavu alikuwa anahitaji kiti cha magurudumu ambacho kinatumia umeme kufanikisha matembezi yake. Wahu alivutiwa na Shabiki huyo aliposhiriki shindano la tiktok la wimbo wake wa back it up, wimbo […]

Read More