Wakadinali Watawala Unkut Hip Hop Awards 2025 Kwa Ushindi Mkubwa
Kikundi cha hip-hop Wakadinali kimetawala tuzo za Unkut Hip Hop Awards 2025, baada ya kuibuka na ushindi katika vipengele vitatu vikubwa Wakadinali walinyakua tuzo ya Album of the Year, ushindi unaokuja kutokana na mapokezi ya Victims of Madness 2.0, Albamu ambayo umesifiwa kwa ubora wa uzalishaji, ubunifu wa ala, na ukomavu wa maudhui. Mwanachama wa […]
Read More