NAIBOI AFUNGUKA CHANZO CHA UKIMYA WAKE

NAIBOI AFUNGUKA CHANZO CHA UKIMYA WAKE

Mkali wa muziki nchini Naiboi amefunguka sababu za kukaa kimya kwenye muziki wake kwa takriban miaka miwill.   Kupitia ukurasa wake wa instagram Naiboi amesema kwa muda sasa mashabiki zake wamekuwa wamkishinikiza atoe nyimbo mpya ila uongozi wake umekuwa kizingiti kwake kufanya hivyo.   Hitmaker huyo wa pesa amesema ameumizwa na kitendo cha kukaa kimya […]

Read More