WALTER CHILAMBO AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA
Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili nchini Tanzania Walter Chilambo ameachia rasmi album yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. Album hiyo inayokwenda kwa jina la “Ushuhuda” ina jumla ya nyimbo 10 za moto, imesheheni nyimbo zenye maudhui tofauti tofauti zitakazogusa maisha yako kwa namna ya kipekee kabisa. Kwenye album hiyo mpya kutoka […]
Read More