“Siku Moja Tutazungumza Kuhusu ‘Diddy’ wa Kenya” – Rapper Wangechi Afichua Mada Nzito Kuhusu Tasnia ya Muziki
Msanii wa muziki wa rap nchini Kenya, Wangechi, ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kuandika ujumbe wa kutatanisha unaoashiria kuwepo kwa unyonyaji na hujuma dhidi ya wasanii wa kike katika tasnia ya muziki humu nchini. Kupitia akaunti yake ya mtandao wa X, Wangechi alidokeza kuwa kuna mtu mashuhuri kwenye sekta ya muziki humu nchini anayefanana na mtayarishaji […]
Read More