RAPA NA PRODYUZA KUTOKA KENYA BIG MIKE AFARIKI DUNIA

RAPA NA PRODYUZA KUTOKA KENYA BIG MIKE AFARIKI DUNIA

Member wa kundi la Nannoma ambalo lilianza muziki mwaka wa 1999  na kujipata umaarufu kwenye tasnia ya muziki nchini kupitia singo iitwayo Kila Saa, msanii Big Mike, amefariki dunia oktoba 17 mwaka huu. Big mike alikuwa rapa na mtayarishaji mashuhuri wa muziki, wakati muziki wa kisasi kipya nchini Kenya ulikuwa kwenye hatua za mwanzo kukua, […]

Read More