WASANII WA KENYA WANG’ARA KWENYE TUZO ZA AEAUSA

WASANII WA KENYA WANG’ARA KWENYE TUZO ZA AEAUSA

Hatimaye mtandao wa tuzo za African Entertainment Awards USA, umetoa majina ya wateule watakaowania tuzo hizo kwa mwaka 2021, huku wasanii chipukizi trio mio na nikita kering  wakiwa miongoni mwa wanaowania tuzo hizo. Trio Mio na Nikita Kering, katika tuzo hizo wameingia kwenye kipengelea cha msanii Bora chipukizi mwaka wa 2021 ambapo atachuana na wasanii […]

Read More