WASANII WA KENYA WAMTOLEA POVU ZITO ERIC OMONDI

WASANII WA KENYA WAMTOLEA POVU ZITO ERIC OMONDI

Mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi amejipata pabaya mara ya baada ya wasanii wa muziki nchini kumsuta vikali kwa kauli yake aliyotoa majuzi kuwa muziki wa Kenya umekufa. Kupitia kurasa zao za instagram wasanii wa Kenya wakiongozwa na Jua Cali wameokana kukasirishwa na kauli hiyo ya Eric Omondi ambapo wamemtaka mchekeshaji huyo akome kuwavunjia heshima wa […]

Read More