PRODYUZA WASHINGTON AKANUSHA KUYUMBA KIUCHUMI

PRODYUZA WASHINGTON AKANUSHA KUYUMBA KIUCHUMI

Prodyuza mkongwe Washington juzi kati alizua mjadala mtandaoni alipoandika ujumbe wa kuwashinikiza baadhi ya wasanii nchini Uganda kumlipa mirahaba ya nyimbo alizofanya nao kipindi cha nyuma. Ujumbe huo ulitafsiriwa na wengi kuwa huenda prodyuza huyo anapitia wakati mgumu kimaisha kutokana na kuyumba kiuchumi. Sasa kwenye mahojiano yake hivi karibuni Washington ameibuka na kukanusha madai ya […]

Read More
 PRODYUZA WA MUZIKI WASHINGTON AVULIA KIUCHUMI

PRODYUZA WA MUZIKI WASHINGTON AVULIA KIUCHUMI

Prodyuza wa muziki Washington ameripotiwa kuvunjika vipande vipande kwa kuwa hana chochote zaidi ya hali mbaya ya kiuchumi. Kupitia mitandao yake ya kijamii Washington ametoa ilani kwa wasanii wote aliofanya nao kazi kipindi cha nyuma kumlipa mirabaha ya kazi zake kutokana na kuyumba kiuchumi. Hata hivyo mkali huyo kutoka Uganda ametoa makataa ya saa 24 […]

Read More