WASHINGTON: “NIWADAI WASANII MIRABHA YA SHILLINGI MILLIONI 157”

WASHINGTON: “NIWADAI WASANII MIRABHA YA SHILLINGI MILLIONI 157”

Prodyuza mkongwe wa muziki kutoka uganda David Washngton amedai kuwa anatarajia kukusanya mirabaha ya shillingi million 157 kutoka kwa wasanii aliofanya nao kazi miaka ya hapo nyuma. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema fedha hizo ni kutoka kwa nyimbo zaidi 100 ambazo aliwatayarishia wasanii mbali mbali nchini Uganda. Washington ambaye amekuwa kwenye muziki kwa takriban […]

Read More