Watendawili Waibua Maswali Magumu kwa Serikali Kuhusu Maisha ya Raia
Duo maarufu wa muziki, Watendawawili, wamejiunga na raia wengine nchini kuelezea wasiwasi wao kuhusu hali ngumu ya maisha inayowakumba Wakenya. Kupitia mahojiano na SPM Buzz, wameeleza kuwa ni vigumu kwa mtu yeyote kufikiria jinsi ya kujipatia kipato wakati taifa linapitia changamoto kubwa za kiuchumi. “Hakuna venye utafikiria vile utatengeneza pesa na watu wanaumia,” walisema, wakisisitiza […]
Read More