WATU 11 WAFARIKI DUNIA KWENYE TAMASHA LA TRAVIS SCOTT
Takribani watu 11 wanasadikika kufariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa kufuatia rabsha zilizotokea wakati wa tamasha la msanii Travis Scott Astro world Fest likiendelea mjini Houston usiku wa kuamkia jana. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, imearifiwa kwamba kuna mtu mmoja miongoni mwa wahudhuriaji wa tamasha la Travis Scott alipagawa na kuanza kuwachoma watu sindano […]
Read More