Lava Lava Aondoka Rasmi WCB Wasafi, Aanza Safari Mpya ya Muziki
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Lava Lava, ameashiria rasmi kuanza ukurasa mpya katika maisha yake ya muziki kwa kuondoa machapisho yote kwenye ukurasa wake wa Instagram, hatua ambayo imewasha moto wa mijadala mitandaoni kuhusu hatima yake ya kisanii. Hatua hii imejiri saa chache tu baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Diamond Platnumz, kuthibitisha […]
Read More