Msanii Diamond Afunguka Kuhusu Kipaji Chake cha Kuandika Mashairi
Msanii nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefunguka wazi kuhusu kipaji chake cha kipekee katika uandishi wa nyimbo, akieleza kuwa hiyo ndiyo silaha yake kubwa katika mafanikio ya muziki wake. Kupitia mahojiano ya hivi karibuni, Diamond amesema ubora wake unajengwa zaidi na uwezo wake wa kuandika mashairi yenye hisia na ujumbe mzito, jambo […]
Read More