Weasel Afichua Sababu ya Kuachana na Sugar Mamas

Weasel Afichua Sababu ya Kuachana na Sugar Mamas

Mwanamuziki maarufu Weasel amefichua wazi kuwa licha ya kuwa na historia ndefu ya uhusiano wa kimapenzi na wanawake wengi, hataki tena kuhusishwa na wanawake wakubwa kiumri wenye pesa maarufu kama sugar mamas. Katika mahojiano ya hivi karibuni, msanii huyo alikiri kuwa aliwahi kuchumbiana na city cougars kwa kipindi fulani, lakini sasa ameamua kuachana kabisa nao […]

Read More
 Mwanamuziki Weasel Manizo afunguka tusiyoyajua kuhusu Marehemu Mowzey Radio

Mwanamuziki Weasel Manizo afunguka tusiyoyajua kuhusu Marehemu Mowzey Radio

Msanii Weasel amefunguka anachokikosa kwa aliyekuwa mshirika wake kimuziki marehemu Mowzey Radio. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema kando na muziki huwa anaumia sana akimkumbuka maisha ya Radio kipindi cha uhai wake kwani walipenda sana kula bata pamoja kwenye maeneo mbali mbali ya burudani Jijini Kampala. Msanii huyo amesema ikitokea amemjua aliyehusika na mauji ya […]

Read More
 WEASEL MANIZO HATIANI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA DEJAAY

WEASEL MANIZO HATIANI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA DEJAAY

Mwanamuziki kutoka Uganda Weasel Manizo anajulikuna kuwa ni mtu mwenye hasira sana ameripotiwa kumpiga na kumjeruhi vibaya aliyekuwa dj wa kundi la Goodlyfe crew dj Triangle kwenye klabu moja ya usiku viungani mwa jiji la Kampala. Kulingana na chanzo cha karibu na msanii huyo Weasel alianza kumshushia kichapo DJ Triangle baada ya kuingia kwenye ugomvi […]

Read More
 WEASEL MANIZO AWAJIBU WANAOTAKA AACHIE NYIMBO MPYA

WEASEL MANIZO AWAJIBU WANAOTAKA AACHIE NYIMBO MPYA

Mwanamuziki wa Goodlife Crew, Weasel Manizo amewatolea uvivu mashabiki zake wanaomshinikiza kila mara kuachia nyimbo mpya. Katika mkao na wanahabari Weasel amesema kwa sasa hataki kusikia mambo ya muziki na hana mpango kabisa  wa kwenda studio kurekodi nyimbo mpya kwani amejikita zaidi kwenye suala la kuiburudisha nafsi yake. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Bread & […]

Read More
 CHIKE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA JUU YA TUHUMA ZA KUTUMBUIZA WIMBO WA RADIO & WEASEL BILA IDHINI

CHIKE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA JUU YA TUHUMA ZA KUTUMBUIZA WIMBO WA RADIO & WEASEL BILA IDHINI

Mwanamuziki kutoka Nigeria Chike amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya msanii Weasel Manizo kumchana kwa hatua ya kuimba wimbo wa Radio na Weasel uitwao “Breath Away” kwenye moja ya performance yake wiki iliyopita. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Chike amesema hakuwa na nia ya kumvunjia heshima Weasel au mtu yeyote ila alikuwa ni […]

Read More
 WEASEL MANIZO AWACHANA MAPROMOTA WA MUZIKI NCHINI UGANDA

WEASEL MANIZO AWACHANA MAPROMOTA WA MUZIKI NCHINI UGANDA

Mwanamuziki nchini Uganda Weasel Manizo amewajia juu mapromota wa muziki nchini humo mara baada ya mwanamuziki wa Nigeria Chike kuimba wimbo wake na Mozey Radio uitwao “Breath Away” kwenye moja ya performance yake bila idhini. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Weasel ameonekana kutopendezwa na kitendo hicho huku akiwataka mapromota wa muziki wakome kuwaruhusu wasanii wa […]

Read More
 WEASEL MANIZZO MBIONI KUJA NA TAMASHA LA KILA MWAKA KUMUENZI MWENDAZAKE MOZEY RADIO

WEASEL MANIZZO MBIONI KUJA NA TAMASHA LA KILA MWAKA KUMUENZI MWENDAZAKE MOZEY RADIO

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Weasel Manizo ameweka wazi mpango wa kuja na tamasha la kila mwaka kwa ajili ya kumpa heshima marehemu Mozey Radio. Msanii huyo ambaye alikuwa mwanakikundi wa Goodlyfe Entertainment, amesema tamasha hilo litaitwa Radio Festival na litaanza mapema mwaka wa 2022. Hata hivyo walimwengu kwenye mitandao ya kijamii wamemjia juu baada ya […]

Read More
 WEASEL AFUNGUKA KWA MARA KWANZA KUHUSU KUMPIGA MFANYIKAZI WAKE WA NYUMBANI

WEASEL AFUNGUKA KWA MARA KWANZA KUHUSU KUMPIGA MFANYIKAZI WAKE WA NYUMBANI

Mwanamuziki kutoka Uganda Douglas Mayanja maarufu kama Weasel Manizo kwa mara ya kwanza amefunguka juu ya kile kilichotokea kati yake na mfanyikazi wake wa nyumbani ambaye aliripotiwa kupigwa na msanii huyo. Akiwa kwenye moja ya Interview, Weasel amekanusha kumshushia kichapo mfanyikazi wake wa nyumbani huku akisema kwamba alisikia uvumi huo kutoka kwa vyombo vya habari […]

Read More