WEEZDOM AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE YA MAPENZI

WEEZDOM AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE YA MAPENZI

Msanii wa muziki nchini Weezdom ameendelea kutoa ushuhuda wa ndani kuhusu maisha yake, amefunguka kwamba ana watoto wanne aliowapata na wanawake tofauti. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni, mkali huyo wa ngoma ya “Testify” amefunguka mengi kuhusu familia yake kwa kusema kwamba kati ya wanawake wanne aliozaa nao, wawili ni maafisa wa polisi. Weezdom ameenda […]

Read More