Weezdom Amkosoa Bahati kwa Kuvaa Mavazi ya Mkewe
Msanii wa zamani wa muziki wa injili na meneja wa burudani, Weezdom, ameeleza masikitiko yake kuhusu mwenendo wa msanii Bahati, ambaye kwa sasa amegeukia maudhui yenye utata mtandaoni. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram, Weezdom amesema Bahati alikuwa mfano bora wa kuigwa, hasa kwa vijana na familia, na aliwahi kutumia kipaji chake kueneza neno […]
Read More