Khaligraph Jones Afichua Kupunguza Kilo 22 Kwa Miezi Mitatu Kupitia Mazoezi na Kula kwa Mpangilio
Rapa maarufu wa Kenya, Khaligraph Jones, amefichua safari yake ya kupunguza uzito, akisema kuwa ameweza kupunguza kilo 22 ndani ya miezi mitatu pekee. Akiweka wazi safari yake ya afya kwenye mahojiano ya hivi karibuni, Khaligraph alieleza kuwa awali alikuwa na uzito wa 137 kg, lakini sasa ana uzito wa 115 kg, hatua aliyofikia kwa kutumia […]
Read More