Wema Sepetu Ajaza Fedha Kwenye Kapu la Lady Jaydee Jukwaani

Wema Sepetu Ajaza Fedha Kwenye Kapu la Lady Jaydee Jukwaani

Staa wa filamu za Bongo, Wema Sepetu, amewaacha wengi midomo wazi baada ya kuonyesha upendo wa dhati kwa mwanamuziki mkongwe Lady Jaydee wakati wa tamasha la Valentine lililofanyika jijini Dar es Salaam. Katika usiku huo wa mahaba, uliopambwa na burudani kutoka kwa Lady Jaydee na bendi yake, Wema Sepetu alionekana kuguswa na wimbo uitwao “Siwema […]

Read More
 Whozu na Wema Sepetu mbioni kufunga ndoa

Whozu na Wema Sepetu mbioni kufunga ndoa

Mwanamuziki wa Bongofleva Whozu ameashiria kufunga pingu za maisha na mwigizaji Wema Sepetu mwaka 2023. Whozu alidokeza hayo kwa kuacha comment kwenye Instagram kupitia ukurasa wa Sepetu na kumwita mke wake kisha kuweka ishara ya Pete ya ndoa na emoji ya Bibi harusi. Whozu ameandika; “2023 …. Wifey ” ikiwa ni kiashirio kwamba uhusiano wao kuvuka kwenda […]

Read More
 WEMA SEPETU ANYOSHA MAELEZO KUFANYA MUZIKI WA BONGOFLEVA

WEMA SEPETU ANYOSHA MAELEZO KUFANYA MUZIKI WA BONGOFLEVA

Muigizaji maarufu Bongo Movie, Wema Sepetu ameweka wazi kuwa hana mpango wa kujitosa kwenye muziki. Mrembo huyo, amebainisha kuwa ana uwezo wa kuingiza sauti yake kwenye nyimbo za wasanii wengine. “Mimi huwa napenda kuingiza zile sauti za nyuma, kuimba siwezi, sitaki kujitia aibu, kama wasanii wanapenda sauti zile za nyuma, mimi niko vizuri Hamna wimbo […]

Read More
 WEMA SEPETU AKANUSHA KUITISHA MICHANGO YA KUNUNUA GARI

WEMA SEPETU AKANUSHA KUITISHA MICHANGO YA KUNUNUA GARI

Msanii wa filamu nchini Tanzania Wema Sepetu amesema kuwa hajawahi kuwatuma watu kukusanya michango kwa ajili ya kununua gari. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam , Wema amesema aliona jambo hilo na kuwaambia wasitishe kwa sababu hakuridhika nalo na hakumtuma mtu kufanya hivyo. “Mimi binafsi sikuwahi kumwambia mtu yeyote anichangie pesa, nadhani […]

Read More