West Ham Yakataa Ofa ya Pauni Milioni 50 kutoka Tottenham kwa Mohammed Kudus
West Ham United imekataa ofa ya pauni milioni 50 kutoka kwa Tottenham Hotspur kwa ajili ya mshambulizi wao Mohammed Kudus. Nyota huyo wa kimataifa wa Ghana anatajwa kuwa tayari kuondoka klabuni hapo, huku akiwa na nia ya kujiunga na timu inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya. Tottenham, ambao wamefuzu kwa Ligi ya Europa msimu ujao, wanapania […]
Read More