WhatsApp Yafanya Maboresho Mapya Kwenye App Yake
WhatsApp imeanzisha maboresho mapya katika programu yake ili kuifanya kuwa bora zaidi kwa matumizi ya kila siku. Maboresho haya yamehusisha muonekano mpya wa app, kasi ya kusoma na kutuma ujumbe, pamoja na urahisi zaidi wa kushirikisha mafaili kama picha, video, na nyaraka. Pia, sehemu ya βstatusβ imeboreshwa kwa kuruhusu majibu ya haraka kwa hadithi za […]
Read More