WhatsApp Business Yabadilisha Mfumo wa Malipo Kuanzia Julai 1, 2025
WhatsApp Business imetangaza kuwa kuanzia Julai 1, 2025, itaanza kutumia mfumo mpya wa kutoza malipo kwa biashara zinazotumia huduma hiyo. Katika mfumo huu mpya, biashara zitalipia kwa kila ujumbe mmoja mmoja unaotumwa kwa mteja, tofauti na mfumo wa awali ambapo walilipia mazungumzo yote ya masaa 24 kwa bei moja. Kwa sasa, mfumo wa sasa wa […]
Read More