WIZKID ATAJWA KAMA MSANII KINARA ROLLING LOUD

WIZKID ATAJWA KAMA MSANII KINARA ROLLING LOUD

Mwanamuziki kutoka Nigeria Wizkid ametajwa kwenye orodha ya wasanii watatu vinara (headliners) ambao watatumbuiza kwenye tamasha la Rolling Loud ambalo litafanyika September 9 hadi 11 mwaka huu mjini Toronto, Canada. Mbali na Wizkid kuna wasanii kama Future na Dave ambao ndio wanakamilisha idadi ya headliners watatu wa tamasha hilo lenye mamia ya wasanii wakali kutoka […]

Read More