Mwigizaji Wilbroda Asema Haamini Kuwepo kwa Mbingu na Jehanamu Baada ya Kifo.

Mwigizaji Wilbroda Asema Haamini Kuwepo kwa Mbingu na Jehanamu Baada ya Kifo.

Mwigizaji maarufu wa Kenya, Jacquey Nyaminde, anayejulikana zaidi kwa jina lake la uigizaji Wilbroda, ameibua mjadala baada ya kufichua mtazamo wake kuhusu imani ya maisha baada ya kifo. Akizungumza na Podcast ya Mwakideu Live, Wilbroda amesema kuwa haamini kuwepo kwa mbingu na jehanamu, akiongeza kuwa hakuna siku tarumbeta itapigwa kama inavyoaminika katika mafundisho ya dini. […]

Read More
 Wilbroda Atoa Wito kwa Rais Ruto Asikie Kilio cha Wananchi

Wilbroda Atoa Wito kwa Rais Ruto Asikie Kilio cha Wananchi

Mwigizaji maarufu wa Kenya, Wilbroda, ameibua hisia kali mtandaoni baada ya kueleza kwa uchungu hali ngumu ambayo wananchi wanapitia chini ya utawala wa sasa, huku akimpelekea Rais William Ruto ujumbe wa moja kwa moja akimtaka asikilize kilio cha wananchi. Kupitia video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Wilbroda alieleza kuwa bado kuna muda wa miaka miwili […]

Read More