WILL SMITH AZINDUA KITABU KIPYA KUHUSU MAISHA YAKE
Mwanamuziki,Muigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka Marekani, Will Smith amezindua kitabu chake kipya kipya kiitwacho “Will” ambacho kinaangazia maisha yake Kwenye kitabu hicho ambacho kilizinduliwa rasmi Novemba 9, mwaka huu, Will Smith amesimulia kuhusu maisha yake kama mtu maarufu na maisha yake binafsi. Will smith amesimulia kuhusu uhusiano kati yake na baba yake mzazi ambao […]
Read More