WILL SMITH APATA OFA NYINGI ZA KUIGIZA FILAMU MAREKANI

WILL SMITH APATA OFA NYINGI ZA KUIGIZA FILAMU MAREKANI

Mwigizaji kutoka nchini Marekani Will Smith ameripotiwa kupata ofa nyingi za kuigiza filamu mbalimbali licha ya kufungiwa miaka 10 kuhudhuria kwenye hafla yoyote ile ya Oscars. Kwa mujibu wa Jarida la Daily Star, Smith amepata ofa nyingi za kuigiza na tayari makampuni mengi ya kustream filamu yanafanya jitihada za kufanya nae kazi tangu tukio lake […]

Read More
 WILL SMITH YUPO ‘REHAB’ AANZA KUPATIWA MSAADA WA KITAALAMU

WILL SMITH YUPO ‘REHAB’ AANZA KUPATIWA MSAADA WA KITAALAMU

Mwigizaji kutoka Marekani Will Smith ameripotiwa kuwa yupo kituo cha kupokea matibabu ya Kisaikolojia (Rehab). Tovuti ya Hollywood Insiders imeliambia gazeti la The Sun kwamba mwigizaji huyo amefika kwenye kituo hicho na atakuwa akipatiwa msaada namna ya kupambana na msongo wa mawazo. “He will be getting help on dealing with stress… this is unquestionably the […]

Read More
 WILL SMITH AFUNGIWA MIAKA 10 KUSHIRIKI TUZO ZA OSCAR

WILL SMITH AFUNGIWA MIAKA 10 KUSHIRIKI TUZO ZA OSCAR

Hatimaye Mwigizaji Will Smith hatoruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Oscar kwa miaka 10 kutoka sasa ikiwa ni adhabu baada ya kumpiga kibao Mchekeshaji Chris Rock jukwaani wakati wa Tuzo hizo za mwaka huu. Smith hatoruhusiwa kuhudhuria hafla au programu zozote za Academy, yeye binafsi au hata kwa mtandao. Lakini pia barua hiyo imeeleza shukrani nyingi kwa […]

Read More
 WILL SMITH AMUOMBA CHRIS ROCK MSAMAHA KWA MARA YA PILI

WILL SMITH AMUOMBA CHRIS ROCK MSAMAHA KWA MARA YA PILI

Mwanamuziki na mwiigizaji kutoka Marekani Will Smith amemuomba radhi mchekeshaji Chris Rock pamoja na watayarishaji wa Tuzo za Oscars kufuatia tukio la kumchapa kofi mchekeshaji huyo live Jukwaani wakati wa ugawaji wa Tuzo hizo za 94 usiku wa kuamkia Machi 28, katika ukumbi wa Dolby Theatre, Hollywood nchini Marekani. Will Smith ambaye tayari aliomba radhi […]

Read More
 WILL SMITH AMSHUSHIA KICHAPO CHA MBWA MCHEKESHAJI CHRIS ROCK LIVE JUKWAANI KWENYE TUZO ZA OSCARS

WILL SMITH AMSHUSHIA KICHAPO CHA MBWA MCHEKESHAJI CHRIS ROCK LIVE JUKWAANI KWENYE TUZO ZA OSCARS

Mwiigizaji na mwanamuziki kutoka Marekani Will Smith ametawala vichwa vya habari duniani asubuhi hii baada ya kumshushia kichapo mchekeshaji Chris Rock live Jukwaani wakati wa ugawaji wa Tuzo za Oscars. Chris Rock alifanya utani juu ya mke wa Will Smith, Jada Pinkett ndipo Will Smith aliamka na kupanda Jukwaani ambapo alimchapa kofi la nguvu mchekeshaji […]

Read More