Mwimbaji William Getumbe akanusha kutumia suala la kukojoa kitandani kutafuta kiki

Mwimbaji William Getumbe akanusha kutumia suala la kukojoa kitandani kutafuta kiki

Mwanamuziki wa injili kutoka Eldoret William Getumbe amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya kutumia suala la kukojoa kitandani kutafuta kiki. Kwenye mahojiano na Nicholas Kioko, Getumbe amekanusha madai ya kutumia hali yake kutengeneza mazingira ya kuzungumziwa mtandaoni huku akisema kuwa aliamua kuweka wazi masaibu yake kwa umma kwa ajili ya kuondoa mitazamo hasi kwa […]

Read More