Rais William Ruto Amkaribisha IShowSpeed Kenya
Rais William Ruto amemkaribisha rasmi streamer na YouTuber maarufu duniani, IShowSpeed, nchini Kenya huku akitaja Kenya kama taifa lenye hisia, msukumo na mvuto wa kipekee usiolinganishwa na nchi nyingine yoyote. Kupitia video iliyochapishwa mtandaoni, Rais Ruto amesema Kenya siyo nchi ya kawaida bali ni mahali penye uhai na hisia zinazogusa mioyo ya watu. Ameeleza kuwa […]
Read More