WILLIS RABURU ATOA YA MOYONI KUHUSU WASANII WANAOTUMIA KIKI KUTANGAZA VITUO VYA AFYA
Hitmaker wa ngoma ya “Kalale”, Msanii Willis Raburu amewatolea uvivu mastaa wa muziki nchini ambao wamekuwa Β na mazoea ya kuwahadaa Wakenya kupitia kiki za kufeki Magonjwa. Kupitia waraka mrefu aliouchapisha kwenye mitandao yake ya kijamii Willis ameonesha kukerwa na tabia ya baadhi ya mastaa kufeki magonjwa kwa ajili ya kuzitangaza huduma za vituo vya Afya. […]
Read More