WILLY PAUL AWACHANA MAPROMOTA WA MUZIKI NCHINI KENYA
Staa wa muziki nchini Willy Paul amewatolea uvivu mapromota wa muziki nchini kwa madai ya kuwadhulumu wasanii wa kenya wanapowaalika wasanii wa nje kufanya matamasha ya muziki nchini. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Willy Paul ametoa ya moyoni kwa kusema kwamba kuna kipindi karibu avunjwe mgongo na mabaunsa kwenye harakati za kumpokea msanii wa Tanzania […]
Read More