Willy Paul Kufungua Duka la Pombe, Atangaza Ajira kwa Wataalamu

Willy Paul Kufungua Duka la Pombe, Atangaza Ajira kwa Wataalamu

Msanii maarufu wa Kenya, Willy Paul, ametangaza kuingia rasmi katika biashara ya vileo kwa kuzindua duka lake jipya la pombe linaloitwa PoZZe Liquor. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Willy Paul alichapisha bango la matangazo ya ajira lenye kichwa kikubwa kisemacho: “PoZZe LIQUOR – Tunatafuta Wafanyakazi.” Tangazo hilo linaeleza kuwa wanahitaji wataalamu pekee walio na uzoefu […]

Read More