WINNIE NWAGI AFUNGUKA TUHUMA ZA KUKATAA KULIPA KIINGILIO KWENYE MOJA YA NIGHT CLUB

WINNIE NWAGI AFUNGUKA TUHUMA ZA KUKATAA KULIPA KIINGILIO KWENYE MOJA YA NIGHT CLUB

Mwanamuziki kutoka Uganda Winnie Nwagi amejibu tuhuma za walinzi kumzuia kuingia kwenye moja ya klabu ya usiku huko Kololo nchini Uganda baada ya kususia kulipa kiingilio. Kwenye video aliyoposti Snapchat Nwagi mrembo huyo amekiri kuzozana na walinzi wa club hiyo kwa kusema kuwa alishangazwa na hatua yao kumtaka alipe kiingilio wakati nyimbo zake zimekuwa zikipigwa […]

Read More
 WINNIE NWAGI AAPA KUTOFANYA KAZI NA WASANII WA NIGERIA

WINNIE NWAGI AAPA KUTOFANYA KAZI NA WASANII WA NIGERIA

Staa wa muziki kutoka Uganda Winnie Nwagi amefunguka kuhusu kufanya kazi na wasanii wa Nigeria. Katika mahojiano yake hivi karibuni Nwagi amesema hatokuja kufanya muziki na wasanii wa nigeria kwa kuwa wanapenda sana kuwatumia wasanii wa mataifa mengine kujitafutia makuu. Msanii huyo wa Swangz Avenue amesema wanigeria wamekuwa na mazoea ya kuwatumia wasanii wengi vibaya […]

Read More
 WINIE NWAGI AKIRI KUPATA MSONGO WA MAWAZO KISA MASHABIKI

WINIE NWAGI AKIRI KUPATA MSONGO WA MAWAZO KISA MASHABIKI

Winnie Nwagi ni moja kati ya wasanii nchini Uganda wasiotaka masihara  kutokana kwa mashabiki wanaomkosoa kwenye  mitandaoni ya kijamii. Katika mahojiano yake hivi karibuni Winnie Nwagi amefichua kwamba alipatwa na msongo wa mawazo kutokana na matusi ya mashabiki mtandaoni. Hitmaker huyo wa malaika amesema alikuwa analia kila mara anaposoma comment za mashabiki wanaotukana kwenye mitandao […]

Read More
 WINNIE NWAGI AZUA GUMZO MTANDAONI BAADA YA KUMSHUSHIA KICHAPO SHABIKI KWENYE MOJA YA PERFORMANCE

WINNIE NWAGI AZUA GUMZO MTANDAONI BAADA YA KUMSHUSHIA KICHAPO SHABIKI KWENYE MOJA YA PERFORMANCE

Winnie Nwagi ni moja kati ya wasanii ambao watu wengi nchini Uganda wanamtaja kama malkia wa kashfa nchini humo kutokana vituko vyake. Wikiendi hii iliyopita kwenye moja ya performance yake alimsaba makofi shabiki yake mmoja ambaye alijaribu kumchukua video akiwa jukwaani bila ridhaa yake. Kwenye moja ya video inayosambaa mitandaoni Winnie Nwagi anaoneka akimshushia kichapo […]

Read More
 MWANAMUZIKI WA SWANGZ AVENUE WINNIE NWAGI AWATOLEA UVIVU MASHABIKI WAKE WA DUBAI

MWANAMUZIKI WA SWANGZ AVENUE WINNIE NWAGI AWATOLEA UVIVU MASHABIKI WAKE WA DUBAI

Mwanamuziki Winnie Nwagi ni moja kati ya watu ambao wanazungumza kilicho akilini mwao bila kushurutishwa na mtu yeyote. Lakini pia huwa anawajibu wakosoaji wake bila uwoga wotewote. Hitmaker huyo wa ngoma ya Kwata Essimu amewatolea uvivu mashabiki zake wa Dubai ambao juzi kati walimshambulia baada ya kudinda kupiga nao picha. Kulingana na mashabiki hao, Winnie […]

Read More
 WINNIE NWAGI AWACHANA WAKOSOAJI WA MAVAZI YAKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

WINNIE NWAGI AWACHANA WAKOSOAJI WA MAVAZI YAKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

Msanii wa Swangz Avenue Winnie Nwagi amemtolea uvivu wanaokosoa uvaaji wake wa mavazi kwenye mitandao ya kijamii. Akipiga stori na runinga moja nchini Uganda Winnie Nwagi amewataka wanaochukia mtindo wake wa mavazi wampe kazi ya kumuingizia kipato ili avae mavazi wanazozipenda. Hitmaker huyo wa “Kwata Essimu” amesema hayupo dunia kumfurahisha mtu yeyote ila yupo kwa […]

Read More
 WINNIE NWAGI MBIONI KUACHA MUZIKI

WINNIE NWAGI MBIONI KUACHA MUZIKI

Inaonekana msanii wa Swangz Avenue Winnie Nwagi hana furaha kwa sasa kwenye tasnia ya muziki nchini Uganda. Kulingana na posts zake kwenye mitandao ya kijamii hitmaker huyo wa “Musawo” inaonekana anapitia kipindi kigumu kwenye maisha yake ambayo hajawahi kutana nayo tangu aanze safari yake ya muziki. Kupitia ukurasa wake wa twitter mrembo huyo amesema kwamba […]

Read More