WIZ KHALIFA AWAPA SOMO MARAPA MAREKANI KUFUATIA MAUJI YA KIHOLELA
Rapa kutoka nchini Marekani Wiz Khalifa ametaka heshima iwepo kwenye muziki wa Hiphop ambapo amewaonya Mastaa wenzake kujitenga na vurugu kuelekea Mwaka mpya kutokana na vifo vya maRapa Drakeo The Ruler na Young dolph Wiz Khalifa ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake Wa Twitter kwa kuandika ujumbe unaosomeka “Kama waburudishaji tujaribu kitu kipya mwaka ujao. […]
Read More