WIZKD AANDIKA HISTORIA AFRIKA KUPITIA MADE IN LAGOS ALBUM

WIZKD AANDIKA HISTORIA AFRIKA KUPITIA MADE IN LAGOS ALBUM

Wizkid ameandika rekodi mpya kwenye muziki wa Afrika, album yake “Made In Lagos” imetajwa kuwania kipengele cha Album Bora ya Mwaka kwenye Tuzo za Soul Train Awards za nchini Marekan. Hivyo imekuwa album ya kwanza ya Kiafrika kwenye historia kutajwa kwenye kipengele hicho. Rekodi ya pili Wizkid  imeiweka kupitia wimbo wake wa  Essence ambao umekuwa […]

Read More