Vybz Kartel Atangaza Ziara ya Dunia “Worl’ Boss Tour”
Msanii mashuhuri wa muziki wa dancehall kutoka Jamaica, Vybz Kartel, ametangaza kuanza kwa ziara yake ya kimataifa inayojulikana kama Worl’ Boss Tour, ikiwa ni mara ya kwanza kwa msanii huyo kufanya maonyesho ya kimataifa baada ya miaka 20. Ziara hiyo ya maonyesho 15 itaanza rasmi Mei 24 mjini Georgetown, Guyana, na itaendelea katika miji mikubwa […]
Read More