Pendekezo la Timu 64 Katika Kombe la Dunia 2030 Lateka Vichwa vya Habari
Suala la kuongeza idadi ya timu shiriki katika fainali za Kombe la Dunia hadi kufikia 64 limeibuka tena, kufuatia kikao kati ya maafisa wakuu wa CONMEBOL shirikisho la soka la Amerika Kusini na uongozi wa FIFA, ambapo pendekezo hilo liliwasilishwa rasmi kwa ajili ya michuano ya mwaka 2030. Kwa sasa, Kombe la Dunia la mwaka […]
Read More