Wyre, Nameless na Jua Cali kutengeneza bendi ya muziki
Msanii mkongwe nchini, Wyre amedokeza mpango wa kuunda bendi ya muziki itakayojumuisha wasanii wa kizazi kipya pamoja na wa zamani. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, amepost video akitoa tangazo hilo ambapo amesema wameungana na kutengeneza timu ya malejendari wa muziki. “Kuna nini jamani. Kwa kawaida sifanyi hivi. Imekuwa zaidi ya miaka 20 katika kufanya jambo […]
Read More