DRE CALI HATIANI KWA KUKIUKA MKATABA WAKE NA WYSE TECHNOLOGIES LIMITED
MMsanii wa Mpaka Records Dre Cali yuko matatani baada ya uongozi wake wa zamani wa Wyse Technologies Limited kutishia kufungulia mashtaka kwa kukiuka mkataba wa maelewano. Kulingana na barua na kutoka kwa Wyse Technologies, Dre Cali anaripotiwa kukiuka mkataba wa miaka 5 ambao alikubaliana na uongozi wake huo kwa lengo la kukuza kipaji chake cha […]
Read More