Real Madrid Yamtambulisha Rasmi Xabi Alonso Kuwa Kocha Mpya
Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania imemtambulisha rasmi Xabi Alonso kuwa kocha mpya wa kikosi hicho, ambapo ataanza kazi yake kuanzia msimu wa 2025/2026. Alonso amesaini mkataba wa miaka mitatu ambao utamuweka klabuni hadi mwaka 2028. Xabi Alonso mwenye umri wa miaka 43 anarejea tena Real Madrid, safari hii kama kocha, baada ya kuichezea […]
Read More