Xenia Manasseh Aandikisha Historia Baada ya Kuteuliwa Kwenye Tuzo za Grammy 2026

Xenia Manasseh Aandikisha Historia Baada ya Kuteuliwa Kwenye Tuzo za Grammy 2026

Mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo kutoka Kenya, Xenia Manasseh, ameandikisha historia baada ya kupokea uteuzi wake wa kwanza kabisa wa Grammy Awards kwa mchango wake katika albamu ya “Escape Room” ya Teyana Taylor, ambayo imeteuliwa katika kipengele cha Best R&B Album. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Xenia hakuweza kuficha furaha yake, akieleza kuwa ni uteuzi […]

Read More