Drake kutoa ushuhuda wa mauji ya Rapa XXXTentacion mwaka
Rapa Drake ni miongoni mwa watu maarufu sita ambao wameorodheshwa kwa ajili ya kutoa ushuhuda kwenye shtaka la mauaji ya Rapa XXXTentacion mwaka 2018 ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi. Mawakili wa utetezi wamewasilisha orodha hiyo yenye jina la Drake, Quavo, Offset, marehemu Takeoff, Tekashi 6ix9ine na Joe Budden ambao wametajwa kama mashahidi kwenye nyaraka hizo […]
Read More