Yammi Atuhumiwa Kumuiba Mume wa Mtu

Yammi Atuhumiwa Kumuiba Mume wa Mtu

Msanii wa Bongo Fleva Yammi amejikuta katikati ya mjadala mkali mitandaoni kufuatia madai yanayomhusisha na kuvunjika kwa uhusiano wa rafiki yake, Gachi. Mjadala huo umeibuka baada ya Gachi kuchapisha ujumbe wenye hisia kali kupitia InstaStory yake, akielezea maumivu ya kuumizwa na rafiki wa karibu. Ingawa hakumtaja mtu yeyote moja kwa moja, mashabiki wengi wamehusisha ujumbe […]

Read More
 Nandy amtambulisha msanii mpya ndani ya lebo yake

Nandy amtambulisha msanii mpya ndani ya lebo yake

Msanii wa Bongofleva Nandy amemtambulisha msanii mpya na wa kwanza ndani ya lebo yake ya “The African Princess”, anaitwa Yammi Nandy ambaye ndiye mkurugenzi wa “The African Princess Label”, amemtaja msanii wake mpya Yammi kuwa ni binti mdogo mwenye ndoto ya kuwa msanii mkubwa na mafanikio. Aidha,Yammi amewashukuru Watanzania kwa mapokezi yao katika safari yake […]

Read More