BINTI WA FLYOD MAYWEATHER AKIRI KOSA LA KUMCHOMA KISU MZAZI MWENZA WA NBA YOUNGBOY
Binti wa Floyd Mayweather,Yaya Mayweather amekiri kuwa na hatia ya kutenda kosa la kumchoma Kisu mzazi mwenza wa Rapa NBA YoungBoy, tukio lililotokea Aprili mwaka 2020. Yaya ambaye bado anadaiwa kuwa kwenye mahusiano na NBA YoungBoy, amekiri kosa hilo mbele ya waendesha mashtaka wa mahakama ya kitongoji cha Harris mjini Houston. Kosa hilo linabeba hukumu […]
Read More