DJ Shiti Atoa Wito kwa Jamii Kumsaidia Yesu wa Tongaren Kugeuza Umaarufu Wake kuwa Fursa ya Maendeleo
Mchekeshaji maarufu na mjasiriamali wa burudani, DJ Shiti, ameibua hisia kubwa mitandaoni kwa kutoa wito wa kumsaidia Yesu wa Tongaren, mtu maarufu nchini Kenya ambaye ameijizolea umaarufu kutokana na imani yake ya kipekee ya kiroho. DJ Shiti anasisitiza kwamba kuna haja ya kubadilisha namna ambavyo Yesu wa Tongaren anavyotumika kwenye vyombo vya habari na jamii […]
Read More