Msanii Ykee Benda mbioni kufanya show yake mwakani

Msanii Ykee Benda mbioni kufanya show yake mwakani

Nyota wa muziki kutoka nchini Uganda Ykee Benda ametangaza tarehe ambayo atafanya show yake ijayo. Kupitia mitandao yake ya kijamii Bosi huyo wa Mpaka Records amesema ana mpango wa kuindaa show yake Mei 13 mwaka 2023 ingawa hajaweka wazi eneo ambalo atafanyia show hiyo. Kwa mwaka huu,Ykee Benda ametoa nyimbo zaidi 8 ambazo zimepokelewa kwa […]

Read More
 YKEE BENDA AGEUKIA BIASHARA YA KUANDAA MATAMASHA YA MUZIKI

YKEE BENDA AGEUKIA BIASHARA YA KUANDAA MATAMASHA YA MUZIKI

Staa wa muziki kutoka Uganda Ykee Benda ametangaza kujikita zaidi katika shughuli ya kuandaa maonesho ya muziki. Katika mahojiano yake hivi karibuni Ykee Benda amesema wameamua kuwekeza pesa zao kwenye matamasha ya muziki kwani wasanii wanaposainiwa kwenye lebo za muziki wanaleta hasara badala ya faida, kitendo ambacho kimemkatisha tamaa kwenye masuala ya kulea vipaji. Hitmaker […]

Read More
 YKEE BENDA AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA

YKEE BENDA AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA

Mwanamuziki kutoka Uganda Ykee Benda amemtambulisha msanii wake mpya chini lebo yake ya muziki ya Mpaka Records. Msanii huyo aitwaye Chembazz atakuwa chini ya mpaka records ambayo itasimamia kazi zake za muziki na tayari ameachia ngoma yake mpya iitwayo “Ntufeelinga” akiwa amemshirikisha bosi wake Ykee Benda. Chembazz anachukua nafasi ya Dre Cali ambaye alitimukia nchini […]

Read More
 YKEE BENDA APINGA UCHAGUZI WA UMA KUFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO

YKEE BENDA APINGA UCHAGUZI WA UMA KUFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO

Mwanamuziki kutoka Uganda Ykee Benda amepinga hatua ya Chama cha Wanamuziki nchini humo UMA kutaka kufanya uchaguzi kwa njia ya mtandao. Katika mahojiano yake hivi karibuni Ykee Benda amesema upigaji kura ukifanyika mtandaoni hatokuwa na uwazi kwa sababu matokeo yanaweza kubadilishwa na watu wanaosimamia maswala ya mitandao. Msanii huyo ambaye alikuwa rais wa zamani chama […]

Read More
 YKEE BENDA AFUNGUKA SABABU ZA KUTAKA KUWA MUISLAMU

YKEE BENDA AFUNGUKA SABABU ZA KUTAKA KUWA MUISLAMU

Staa wa muziki kutoka nchini Uganda Ykee Benda ameweka wazi matamanio yake ya kubadili dini kutoka ukristo kwenda Uislamu. Akiongea na waandishi wa habari nchini uganda, ykee benda amefichua kuwa anaipenda dini ya Kiislamu kutokana na mambo mazuri yanayoambatana nayo, ikiwa ni pamoja na kuoa wanawake wanne ambayo ni tofauti na dini nyingine. Hitmaker huyo […]

Read More
 YKEE BENDA AWATAKA WASANII WA UGANDA KUTOKUBALI KUTUMIWA VIBAYA NA MAPROMOTA WA MUZIKI

YKEE BENDA AWATAKA WASANII WA UGANDA KUTOKUBALI KUTUMIWA VIBAYA NA MAPROMOTA WA MUZIKI

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Ykee Benda amewataka wasanii wenzake kuanza kuwalipisha pesa nyingi mapromota wa muziki nchini humo ambao wanawaleta wasanii wa Nigeria kwenye shows zao. Bosi huyo wa Mpaka Records amewataka wasanii wenzake kuwa na msamimo dhabiti dhidi ya mapromota hao ili waweze kuwalipa pesa sawa na wasanii wa Nigeria kwani wana uwezo wa […]

Read More
 YKEE BENDA AAPA KUTOFANYA KAZI TENA NA WASANII WA NIGERIA

YKEE BENDA AAPA KUTOFANYA KAZI TENA NA WASANII WA NIGERIA

Mwanamuziki kutoka nchini uganda Ykee Benda amefunguka changamoto za kufanya kazi na wasanii wanigeria. Katika mahojiano na Galaxy FM Ykee benda amehapa kutofanya kazi tena na wasanii wa nigeria na ikitokea amefanya nao ngoma ya pamoja itakuwa ni wao wamemtafuta Hitmaker huyo wa β€œBanange” amedai baadhi ya wasanii wa Nigeria hawana moyo wa kuwasaidia wasanii […]

Read More
 YKEE BENDA ATAKA SERIKALI YA UGANDA KUTENGA SIKU YA KITAIFA KUMKUMBUKA MAREHEMU MOZEY RADIO

YKEE BENDA ATAKA SERIKALI YA UGANDA KUTENGA SIKU YA KITAIFA KUMKUMBUKA MAREHEMU MOZEY RADIO

Bosi wa lebo ya muziki ya Mpaka Records msanii Ykee Benda ameitaka serikali ya Uganda kuiweka Februari mosi ya kila mwaka kuwa Sikikuu ya Kitaifa kumkumbuka Marehemu Mozey Radio ambaye alifariki tarehe hiyo mwaka wa 2018. Akizungumza huko Kagga nchini Uganda ambako Mozey Radio alipumzishwa mwaka wa 2018, Ykee Benda amesema mwendazake mozey Radio alikuwa […]

Read More