PRODYUZA WA BONGOFLEVA YOGO BEATS ATANGAZA KUACHA MUZIKI

PRODYUZA WA BONGOFLEVA YOGO BEATS ATANGAZA KUACHA MUZIKI

Prodyuza wa muziki wa Bongofleva, Yogo Beats ametangaza kuacha muziki bila kueleza sababu hasa iliyomplekea kuchukua maamuzi hayo magumu. Kupitia Instagram Yogo ameandika; I quit the game, staki tena muziki. f******** this game. Mara baada ya ujumbe huo, Wasanii na Maprodyuza mbalimbali wamemsihii asifanye hivyo kwenye post aliyoichapisha kwenye mtandao wa instagram. Hata hivyo, mtayarishaji […]

Read More