YOUNG DEE AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

YOUNG DEE AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

Rapa kutoka nchini Tanzania Young Dee ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa Nyanguva. Young D ambaye ni CEO wa Kampuni ya The Dream City, inayojihusisha na usimamizi wa kazi zake,  amesema  album hiyo imebeba jumla ya mikwaju 10 ya moto huku ikiwa na kolabo 5 pekee. Young D amewashirikisha wasanii mbali mbali kama rapa […]

Read More