YOUNG LUNYA AFUNGUKA MAENDELEO YA ALBUM YAKE MPYA
Msanii wa Hip Hop Tanzania, Young Lunya amesema albamu yake imeshamilika kwa asilimia 90, na sasa vimebakia vitu vichache vya mwisho kama mixing, mastering na kupangiwa tarehe ya kutoka na Sony Music. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Sony Music Africa Juni 3, 2022, tayari Lunya yupo kwenye maandalizi ya albamu yake ya […]
Read More