Young Thug Adokeza Kuacha Muziki, Atamani Kuwa Streamer

Young Thug Adokeza Kuacha Muziki, Atamani Kuwa Streamer

Msanii maarufu wa Hip Hop, Young Thug, ameibua gumzo baada ya kueleza dhamira ya kuachana na muziki na kuhamia kwenye ulimwengu wa ustreaming. Akiwa mubashara na streamers maarufu Adin Ross na Neon, alieleza kuwa amechoka na muziki na anatamani kujikita katika maisha ya utangazaji wa moja kwa moja. Kauli hiyo imeibua mijadala mitandaoni, wengi wakihusisha […]

Read More
 ASAP Rocky Azima Tetezi za Albamu ya Pamoja na Young Thug

ASAP Rocky Azima Tetezi za Albamu ya Pamoja na Young Thug

Rapa maarufu kutoka Marekani, ASAP Rocky, amevunja kimya na kuzima uvumi uliokuwa ukisambaa mitandaoni kuhusu uwezekano wa kutoa albamu ya pamoja na Young Thug. Tetezi hizo zilianza kushika kasi jana baada ya ASAP Illz, mmoja wa wanachama wa ASAP Mob, kuashiria uwezekano wa collabo hiyo kupitia ujumbe wa kuvutia kwenye mitandao ya kijamii. Hata hivyo, […]

Read More
 Kaka wa Young Thug akiri kosa mahakamani

Kaka wa Young Thug akiri kosa mahakamani

Kaka wa rapa Young Thug aitwaye Quantavious Grier “Unfoonk” amekiri makosa yake mahakamani na kuingia makubaliano maalumu kwamba asiwe na mawasiliano na Young Thug. Kwa mujibu wa Wbstv rekodi za mahakama ya jimbo la fulton zinaonyesha kuwa Quantavious Grier alikiri shtaka moja la kukiuka sheria inayopambana na rushwa (rico) na shtaka moja la wizi kwa kupokea mali ya wizi. […]

Read More
 YOUNG THUG AFUNGULIWA MASHTAKA NA PROMOTA

YOUNG THUG AFUNGULIWA MASHTAKA NA PROMOTA

Rapa kutoka Marekani Young Thug yupo korokoroni tangu mwezi Mei mwaka huu, hii imepelekea kuharibu baadhi ya mipango yake mingi ikiwemo kutofanyika kwa maonesho ambayo tayari alikuwa ametakiwa kuyafanya. Kwa mujibu wa The Atlanta Journal Constitution, Thug amefunguliwa mashtaka na promota wa kampuni ya A-1 Concert Entertainment kwa kutofanya onesho ambalo alitakiwa kufanya mwezi June […]

Read More
 RAPPER YOUNG THUG KUTOKA MAREKANI KUSAIDIA WAAFRIKA UKRAINE

RAPPER YOUNG THUG KUTOKA MAREKANI KUSAIDIA WAAFRIKA UKRAINE

Rapa Kutoka  Nchini Marekani Young Thug ameonesha kuwa na moyo wa uhuruma baada ya kuguswa na kitendo cha Watu weusi nchini Ukraine kuachwa vitani huku wazungu wakisafirishwa sehemu salama zaidi. Kitendo hicho cha kibaguzi kimemgusa Rapa Young Thug ambaye amejitokeza na kusema kuwa yupo tayari kutoa msaadakwa Waafrika waliokwama kuondoka Ukraine kipindi hichi cha vita na […]

Read More