YOUTUBE YAWEKA UWEZO WA KUFICHA DISLIKES.

YOUTUBE YAWEKA UWEZO WA KUFICHA DISLIKES.

Siku ya jana, YouTube imetangaza katika ukurasa wake wa News & Events, kuwa inaweka mabadiliko mapya ya kuficha jumla ya “Dislikes” katika video. Kwa kawaida, watazamaji wanaweza ku-Like au Dislike video, na idadi ya Likes na Dislikes imekuwa ikionekana chini ya video. Katika kuzuia ubaguzi, kuwatania Content Creators wadogo na kuzidi kuwapa moyo Content Creators, […]

Read More